Email: info@jkuz.go.tz  |  P.o.Box: 985  |  Tel: 0242238030  |  Fax: 0242232149


Logo
  • Mkuu wa JKU akisalimiana na wakufunzi wa JKU katika kambi ya Dunga
  • Mkuu wa JKU akisalimiana na wakufunzi wa JKU katika kambi ya Dunga
  • Mkuu wa JKU akisalimiana na wakufunzi wa JKU katika kambi ya Dunga
  • Mkuu wa JKU akisalimiana na wakufunzi wa JKU katika kambi ya Dunga


HABARI NA MATUKI0

Created at 2 days ago

WAHITIMU WA MAFUNZO YA HUDUMA YA MWANZO MKUPUO 01 WAKIMALIZA MAFUNZO YAO HAPO KATIKA HOSPITALI YA MAKAO MAKUU SAATENI

Madaktari wa Hospitali ya Jeshi la Kujenga Uchumi(JKU) wametakiwa kuongeza bidii katika kuboresha huduma za Afya ili kuwasaidia wapigan

Read more

Created at 4 days ago

KATIKATI NI MKUU WA JESHI LA KUJENGA UCHUMI (JKU) KANALI MAKAME ABDALLA DAIMA AKIWA KATIKA MKUTANO MKUU WA JKU ULIOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA MAKAO MAKUU YA JKU SAATENI.

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi(JKU) Kanal Makame Abdalla Daima aliwataka watendaji wa JKU kutekeleza Maazimio ya Mpangokazi ya mwaka 2023 ili kufikia maleng

Read more

Created at 6 days ago

Maafisa na Wapiganaji wa Jeshi la Kujenga Uchumi wametakiwa kuongeza kasi ya Uzalishaji ili waweze kuongeza kipato ndani ya Jeshi na Taifa kwa ujumla .

Wito huo umetolewa na  Mkuu wa Utawala wa Jeshi la Kujenga

Read more


JKU YAPATA SEMINA ELEKEZI KATIKA SKULI YA SEKONDARI JKU MTONI

JKU YA ZINDUA BOTI MPYA YA UVUVI KATIKA PWANI YA FUKUCHANI MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

Kamishna wa Uhamiaji zanzibar Amtembelea Mkuu wa JKU


UONGOZI WA JKUZ

Card image
Col.MA Daima
MKUU WA JKU
Card image
Lt Col.HA Ali
MKUU WA UTAWALA
Card image
Col.JH Hamza
MKURUGENZI WA WAKALA WA ULINZI

DIRA

Ni kuratibu, kusimamia na kuendesha mafunzo endelevu hivyo basi kupitia  JKU vijana wa  Zanzibar waweze kujengeka kiuzalendo, kujitegemea na kujiamini.

DHAMIRA

Ni kuchangia kuimarisha uchumi kwa kutoa mafunzo ya uzalishaji, ufundi na kazi za amali, mila na utamaduni na uzalendo.

WASILIANA NASI
  • Email: info@jkuz.go.tz
  • P.O.Box: 985
  • Fax: 0242232149
  • Tel: 0242238030
WALIOTEMBELEA TOVUTI