Email: info@jkuz.go.tz | P.o.Box: 985 | Tel: 0242238030 | Fax: 0242232149
Wito huo umetolewa na Mkuu wa Utawala wa Jeshi la Kujenga Uchumi Luteni Kanali Haji Ali Ali alipokua akifungua semina ya siku moja hapo katika Skuli ya Secondari ya JKU Mtoni Wilaya ya Magahribi A Unguja
Amesema kua lengo la semina hii ni kutathmini na kuandaa mpango kazi ili kuweza kukuza udhalishaji ndani ya Jeshi hilo
Akitoa mada muezeshaji wa semina hio Luteni Masoud Mbaraka Masoud amefafanua juu ya dhana ya mpango kazi, nadharia pamoja na kuandaa vipengele vya mpango kazi
Semina hio ya siku moja imewashirikisha Wakuu wa Mkambi , Mabwana shamba, Watawala pamoja na Wahasibu wa Jeshi hilo.