Email: info@jkuz.go.tz | P.o.Box: 985 | Tel: 0242238030 | Fax: 0242232149
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi Kanali Makame Abdalla Daima amewataka Maafisa wa JKU kuengeza bidii katika utekelezaji wa majukumu yao ili kuengeza ufanisi ndani ya JKU. Amesema hayo hapo hapo katika ukumbi wa mkutano Makao Makuu ya JKU Sateni wakati alipokua akiwavalisha vyeo Maafisa 22 kutoka cheo cha Luteni kwenda cheo cha kapteni. Amesema cheo ni dhamana hivyo kila mmoja anapaswa kutambua wajibu wake wa kazi sambamba na kua waaminifu katika majukumu ya ujenzi wa madarasa, ujenzi wa masoko ili kukuza maendeleo ya JKU na Taifa kiujumla
Aidha amesifu jitihada zinazochukuliwa na Maafisa wa JKU katika utekelezaji wa miradi mbali mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujen
oja na miradi mbalimbali ya majengo ya wajasiria mali
Kwa upande wake Mkuu wa Utawala wa JKU Luteni Kanali Haji Ali Ali amefafanua kua mashirikiano na uwajibikaji ndio njiaa pekee itakayopelekea mafanikio katika kila hatua
JKU FITNESS CLUB YAFANYA MAZOEZI KATIKA VIWANJA VYA MMJKU
Dkt. Khalid azindua mahanga ya kulala vijana JKU Bambi kim