Email: info@jkuz.go.tz  |  P.o.Box: 985  |  Tel: 0242238030  |  Fax: 0242232149


Logo
MUUNDO WA SASA WA JKU

Katika mfumo wa uongozi Kamanda Mkuu wa JKU ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi [Sheria namba 6 ya mwaka 2003, kifungu 6 (1)]. Kutokana na mfumo huo JKU inakuwa chini ya Wizara ya Nchi afisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ ambayo huongozwa na Waziri husika wa Wizara hiyo. Katika Uongozi wa JKU wenyewe, Mkuu wa JKU anakuwa Mkuu wa Jeshi akisaidiwa na Mkuu wa Utawala ambae ndie Mtendaji Mkuu wa Majukumu ya kila siku. Kufatana na mfumo huu wa kiutendaji muundo wa JKU unakuwa kama ifuatavyo:-
Kamanda Mkuu wa JKU (Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Waziri wa Wizara ya Nchi (OR) Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ

  Mkuu wa JKU
 • Mkuu wa Utawala
 • Wakuu wa Maidara
 • Wakuu wa Zoni
 • Wakuu wa Vikosi
 • Wakuu wa Kambi
 • Wakuu wa Vyuo
 • Wakuu wa Vituo

 • MWENGE WA UHURU 2020/2023 KUWASILI ZANZIBAR NA KUPOKELEWA KWA SHANGWE KATIK VIWANJA VYA ABEID KARUME

  INT 018/2023 KUMALIZA MAFUNZO YA UONGOZI MDOGO JKU DUNGA

  VIJANA JKU WAFAIDIKA NA MAFUNZO YA UVUVI NA UBAHARIA, WAFANIKIWA KUTENGENEZA BOTI AINA YA FIBER


  WASILIANA NASI
  • Email: info@jkuz.go.tz
  • P.O.Box: 985
  • Fax: 0242232149
  • Tel: 0242238030
  WALIOTEMBELEA TOVUTI