Email: info@jkuz.go.tz | P.o.Box: 985 | Tel: 0242238030 | Fax: 0242232149
Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu Namba9 (1) cha Sheria ya Uwakala wa Ulinzi wa JKU Zanzibar Namba 2 ya mwaka 2015, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein amemteua LT.COL. JABIR HAJI HAMZA kuwa MKURUGENZI MTENDAJI WA UWAKALA WA ULINZI WA JKU ZANZIBAR.
Uteuzi huo unaanzia tarehe 03 Agosti, 2017.
JKU FITNESS CLUB YAFANYA MAZOEZI KATIKA VIWANJA VYA MMJKU
Dkt. Khalid azindua mahanga ya kulala vijana JKU Bambi kim
Waziri Masoud afunga mafunzo ya vijana wa ujenzi wa Taifa intek 067 na 068 / 2022